IQNA

Njama ya wanazi kuhujumu msikiti Scotland yatibuliwa

TEHRAN (IQNA)- Njama ya watu wenye misimamo mikali ya kinazi ya kuushambulia kwa bomu msikiti Scotland nchini Uingereza imetibuliwa na mshukiwa kukamatwa.

Kituo Kipya cha Kiislamu kukabiliana na misimamo mikali Mombasa, Kenya

TEHRAN (IQNA)- Kituo kipya cha Kiislamu kimefunguliwa katika mjini Mombasa, Kenya katika mtaa wa Majengo kwa lengo la kukabiliana na misimamo mikali ya...

Magaidi 19,000 wa ISIS wameuawa Iraq katika kipindi cha miaka 3

TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya magaidi 19,000 wa ISIS (Daesh) wameuawa Iraq katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, amesema mkuu wa polisi nchini humo.

UN: Facebook imehusika na uchochezi dhidi ya Waislamu wa Rohingya

TEHRAN (IQNA)- Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wameulaumu mtandao maarufu wa kijamii wa Facebook kuwa umehusika kwa uchochezi wa mauaji ya umati dhidi ya...
Habari Maalumu
Wenye Chuki na Uislamu watangaza

Wenye Chuki na Uislamu watangaza "Siku ya Kumwadhibu Muislamu" Uingereza

TEHRAN (IQNA)- Wasiwasi umetanda katika jamii ya Waislamu nchini Uingereza baada ya kundi lenye chuki dhidi ya Uislamu kusambaza barua za kuhimiza kuhujumiwa...
12 Mar 2018, 09:08
Ozil, Mchezaji Mwislamu Mjerumani,  amjibu mwanasiasa anayeuchukia Uislamu

Ozil, Mchezaji Mwislamu Mjerumani, amjibu mwanasiasa anayeuchukia Uislamu

TEHRAN (IQNA)- Mesut Ozil mchezaji mashuhuri Mwislamu katika timu ya taifa ya soka ya Ujerumani amemjibu mwanasiasa anayeuchukia Uislamu ambaye alimkosoa...
11 Mar 2018, 14:52
Watoto watatu wenye ulemavu wa macho Misri wahifadhi Qur’ani + Video

Watoto watatu wenye ulemavu wa macho Misri wahifadhi Qur’ani + Video

TEHRAN (IQNA)- Watoto watu wa familia moja wamehifadhi Qur’ani kikamilifu nchini Misri pamoja na kuwa wamezaliwa wakiwa na ulemavu wa macho.
10 Mar 2018, 13:37
Washindi wa Mashindano ya Qur’ani Ulaya watunukiwa zawadi

Washindi wa Mashindano ya Qur’ani Ulaya watunukiwa zawadi

TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Hamburg kimetangaza washindi wa Mashindano ya Sita ya Kimataifa ya Qur’ani ya Waislamu wa Ulaya.
09 Mar 2018, 21:55
Idadi ya Waislamu Russia ni Millioni 25

Idadi ya Waislamu Russia ni Millioni 25

TEHRAN (IQNA)-Idadi ya Waislamu nchini Russia sasa imefika watu milioni 25 kati ya watu milioni 145 nchini humo, amesema Mufti Mkuu wa Russia Sheikh Rawil...
08 Mar 2018, 10:54
Hali ya Hatari yatangazwa Sri Lanka baada  ya Mabuddha kuwahujumu Waislamu

Hali ya Hatari yatangazwa Sri Lanka baada ya Mabuddha kuwahujumu Waislamu

TEHRAN (IQNA)-Hali ya hatari imetangazwa kote Sri Lanka Jumanne baada ya magenge ya Mabuddha kuwahujumu Waislamu katika wilaya moja ya kati mwa nchi hiyo.
07 Mar 2018, 12:11
Waandishi habari Wapalestina wasema Facebook inashirikiana na Israel

Waandishi habari Wapalestina wasema Facebook inashirikiana na Israel

TEHRAN (IQNA)- Waandishi habari Wapalestina wameandamana nje ya ofisi ya Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Ghaza kulalamikia mwenendo wa mtandao wa kijamii...
06 Mar 2018, 15:03
Mashindano ya Qur'ani ya wenye ulemavu nchini Misri

Mashindano ya Qur'ani ya wenye ulemavu nchini Misri

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Marekani inapanga kuandaa mashindano ya Qur'ani kwa watu walemavu na wale wenye mahitajio maalumu.
05 Mar 2018, 11:48
Kijana wa miaka 20 ashinda mashindano ya Qur'ani Nigeria

Kijana wa miaka 20 ashinda mashindano ya Qur'ani Nigeria

TEHRAN (IQNA) – Kijana mwenye umri wa miaka 20, Amiru Yunusa, wa Jimbo la Bauchi ametangazwa kuwa mshindi wa Mashindano ya 23 ya Kitaifa ya Qur'ani ya...
05 Mar 2018, 11:33
Kuzingatia Qur'ani ni chimbuko la mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu

Kuzingatia Qur'ani ni chimbuko la mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

TEHRAN (IQNA)-Kamanda wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Mohammad Ali Jafari amesema mafanikio ya Iran ya Kiislamu...
04 Mar 2018, 11:47
Misikiti Uingereza yawapokea wasio na makao katika msimu wa baridi kali

Misikiti Uingereza yawapokea wasio na makao katika msimu wa baridi kali

TEHRAN (IQNA)-Misikiti kadhaa nchini Uingereza imefungua milango kwa watu wasio na makao nchini humo bila kujali dini yao kufuatia baridi kali na theluji...
03 Mar 2018, 21:29
Qarii wa Iran kuwa jaji katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tunisia

Qarii wa Iran kuwa jaji katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tunisia

TEHRAN (IQNA)-Waandalizi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani nchini Tunisia wameiomba Iran imteue qarii na mtaalamu Qur’ani ili awe miongoni mwa jopo...
03 Mar 2018, 00:22
Siku ya kusali sala ya jamaa Quds Tukufu inakaribia
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mkutano na maulamaa wa Syria

Siku ya kusali sala ya jamaa Quds Tukufu inakaribia

TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, " Ni matumaini yetu sote tutaiona siku ambayo mtasali sala la jamaa mjini Quds na siku...
02 Mar 2018, 00:35
Mabingwa Waislamu katika Ligi Kuu ya Soka ya Uingereza, EPL

Mabingwa Waislamu katika Ligi Kuu ya Soka ya Uingereza, EPL

TEHRAN (IQNA)- Wiki za hivi karibuni nchini Uingereza, mshambuliaji Muislamu na Mwarabu wa Timu ya Soka ya Liverpool katika Ligi Kuu ya maarufu kama EPL...
26 Feb 2018, 21:32
Misikiti 109 yafunguliwa upya Diyala, Iraq baada ya ISIS kutimuliwa

Misikiti 109 yafunguliwa upya Diyala, Iraq baada ya ISIS kutimuliwa

TEHRAN (IQNA)-Idara ya Waqfu wa Ahul Sunna katika mkoa wa Diyala nchini Iraq imesema misikiti 109 imefunguliwa tena baada ya kufunguwa kwa miaka mitatu...
24 Feb 2018, 20:28
Picha