IQNA

Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika Picha

14:54 - April 23, 2021
Habari ID: 3473842
TEHRAN (IQNA)- Waislamu kote duniani wako katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, mwezi wa tisa katika kalenda ya Kiislamu. Ramadan, the ninth month of the Islamic calendar, is observed by Muslims worldwide as a month of fasting, prayer, reflection, charity and community.

Kaktika mwezi huu Waislamu hufunga kula na kunya mchana pamoja na kuzingatia mambo mengine waliyokatazwa katika mchana wa mwezi huu mtukufu. Aidha katika mwezi huu waumini hukusanyika msikitini kwa ajili ya ibada, mbali na kujisughulisha katika kutoa misaada na kuwasaidia wasiojiweza katika jamii.

 
 
captcha