IQNA

Duru ya Pili ya Mazungumzo ya Kidini ya Iran na Afrika Kusini

TEHRAN (IQNA) - Mazungumzo ya pili ya kidini kati ya Uislamu na Ukristo kati ya Iran na Afrika Kusini ambapo mada ya mwaka huu ni "Maadili katika Dini". Wasomi wasomi na wanafikra kutoka nchi hizo mbili wanashiriki katika mazungumzo hayo yaliyoanza Jumamosi mjini Tehran katika Shirika la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu (ICRO)