IQNA

Qari Sheikh Rahim Sharifi Msomaji maarufu wa Qur’ani Tukufu akisoma Surat Al-Isra

Katika kuunga mkono operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa katika maeneo yaliyokaliwa kwa mabavu Gaza, unaweza kuona usomaji wa aya ya 5 ya Surat Al- Isra' kwa sauti nzuri ya Sheikh Rahim Sharifi, msomaji wa Qur’ani Tukufu mashuhuri wa nchini Iran.

Aya ya tano ya Surat al-Isra inasema hivi:

Basi itapo fika ahadi ya kwanza yake tutakupelekeeni waja wetu wa kali kwa vita. Watakuingilieni ndani ya majumba. Na hii ilikuwa ahadi iliyo timizwa

4180101

 

Kishikizo: israa ، usomaji qurani ، sharif