iqna

IQNA

car
TEHRAN (IQNA)-Magaidi wa Kikristo wa kundi la anti-Balaka wameua Waislamu 25 ndani ya msikiti katika mji wa Kembe kusini mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Habari ID: 3471216    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/14

TEHRAN (IQNA) Waislamu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wanakabaliwa na hali mbaya huku wengi wakiwa hawana chakala wala makao katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani baada ya kufurushwa na genge la Kikristo la Anti Balaka.
Habari ID: 3471027    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/20

Askofu Mkuu wa zamani wa Kanisa la Anglikana nchini Afrika Kusini ametahadharisha juu ya kukaribia kutumbukia Jamhuri ya Afrika ya Kati kwenye mauaji ya kimbari.
Habari ID: 1398694    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/22

Huku katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki Moon akielezea wasi wasi wake kuhusu kuendelea kukandamizwa Waislamu Jamhuri ya Afrika ya Kati, Shirika la Kuwahudumi wakimbi la umoja huo, UNHCR Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wakimbizi UNHCR limetangaza kuwa liko tayari kuwahamishia sehemu salama Waislamu wa nchi hiyo.
Habari ID: 1390350    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/03

Taarifa zimeeleza kuwa Waislamu katika moja ya miji ya Jamhuri ya Afrika ya Kati wametishiwa kuuawa.
Habari ID: 1389972    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/30

Mbunge mmoja wa Chad amesisitiza kuhusu ulazima wa kutuma askari wa kimataifa kulinda maisha ya Waislamu Jamhuri ya Afrika ya Kati. Mohammad Ibn Zain ameongeza kuwa kuendelea mauaji ya umati ya Waislamu huko Jamhuri ya Afrika ya Kati ni natija ya kimya cha jamii ya kimataifa.
Habari ID: 1379190    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/24