iqna

IQNA

soka
Wanamichezo Waislamu
RIYADH (IQNA) - Karim Mostafa Benzema, mwana soka wa kulipwa wa Ufaransa ambaye anacheza kama mshambuliaji katika Klabu ya Al-Ittihad ya Ligi Kuu ya Saudia , alipokea zawadi ya nakala ya Qur'ani Tukufu kutoka kwa ripota wa Saudi.
Habari ID: 3477455    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/18

Waislamu na michezo
TEHRAN (IQNA)- Mesut Ozil, mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya soka ya Ujerumani, alihudhuria sala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Istiqlal katika mji mkuu wa Indonesia Jakarta.
Habari ID: 3475305    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/28

TEHRAN (IQNA)- Wiki za hivi karibuni nchini Uingereza, mshambuliaji Muislamu na Mwarabu wa Timu ya Soka ya Liverpool katika Ligi Kuu ya maarufu kama EPL amevuma kwa umahiri na dini yake.
Habari ID: 3471405    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/26

Algeria imetaka waandalizi wa Kombe la Soka la Dunia 2014 kuwapa nakala za Qur’ani wachezaji na maafisa wa timu yake ya taifa.
Habari ID: 1399941    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/26