IQNA

Viongozi wa Ulaya waaswa kukomesha kuchochea chuki dhidi ya Uislamu

Viongozi wa Ulaya waaswa kukomesha kuchochea chuki dhidi ya Uislamu

IQNA – Kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni dhidi ya misikiti nchini Uingereza na Ufaransa, viongozi wa Ulaya wametakiwa kuacha kuchochea chuki dhidi ya Uislamu.
23:00 , 2025 Jul 01
Rais wa Iran: Mienendo ya kindumakuwili ya IAEA inasababiisha changamoto kubwa duniani

Rais wa Iran: Mienendo ya kindumakuwili ya IAEA inasababiisha changamoto kubwa duniani

IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Mienendo ya hivi karibuni ya kindumakuwili ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) inatia wasiwasi na inasababiisha changamoto kubwa kwa imani ya umma ya taifa la Iran."
22:46 , 2025 Jul 01
Hadhi ya Imam Hussein (AS) katika Qur’ani

Hadhi ya Imam Hussein (AS) katika Qur’ani

IQNA – Baadhi ya aya za Qur’an Tukufu zinamhusu, Imam Hussein (AS), ambaye ni shakhsia adhimu na mtukufu katika Uislamu.
22:36 , 2025 Jul 01
Wanaharakati wa Qur'ani Iran wakemea matamshi ya Rais wa Marekani dhidi ya Kiongozi Muadhamu

Wanaharakati wa Qur'ani Iran wakemea matamshi ya Rais wa Marekani dhidi ya Kiongozi Muadhamu

IQNA – Jumuiya ya Wanaharakati wa Qur’an ya Iran imelaani vikali matusi na vitisho vya rais wa Marekani dhidi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, ikiyataja matamshi hayo kuwa shambulizi la moja kwa moja dhidi ya umoja wa Kiislamu na maadili ya Uislamu.
12:53 , 2025 Jul 01
Mnara wa kuenzi kumbukumbu ya Mtoto Mpalestina-Mmarekani aliyeuawa katika jinai ya chuki

Mnara wa kuenzi kumbukumbu ya Mtoto Mpalestina-Mmarekani aliyeuawa katika jinai ya chuki

IQNA – Wakazi wa Plainfield, Illinois, nchini Marekani walikusanyika Jumamosi kufungua mnara wa kumbukumbu kuenzi maisha ya Wadea Al-Fayoume, mtoto Mpalestina-Mmarekani wa miaka sita aliyekuwa miongoni mwa waliouawa kwa ukatili wa chuki mwaka 2023.
11:33 , 2025 Jun 30
Mtafiti: Ujumbe wa Imamu Hussein (AS) waugusa ubinadamu wote

Mtafiti: Ujumbe wa Imamu Hussein (AS) waugusa ubinadamu wote

IQNA – Mwanazuoni na mtafiti wa Kiislamu amesisitiza umuhimu wa kimataifa na wa milele wa harakati ya Imam Hussein (AS), akiuelezea kama ujumbe wa kibinadamu unaowagusa watu wote, bila kujali dini wala asili.
11:18 , 2025 Jun 30
Maonyesho ya kaligrafia kuhusu Imamu Hussein (AS) Yafunguliwa Mashhad

Maonyesho ya kaligrafia kuhusu Imamu Hussein (AS) Yafunguliwa Mashhad

IQNA – Maonyesho ya sanaa ya kaligrafia yaliyopewa jina la "Machozi ya Waridi", yamezinduliwa kwa mnasaba siku za maombolezo za siku kumi za mwanzo za Mwezi wa Muharram, yakionyesha kazi za mtaalamu mahiri wa hati za kaligrafia, Ali Akbar Rezvani.
10:57 , 2025 Jun 30
Mashindano ya Qur’ani nchini Slovenia yavutia washiriki zaidi ya 1,000

Mashindano ya Qur’ani nchini Slovenia yavutia washiriki zaidi ya 1,000

IQNA – Toleo la tisa la mashindano ya "Kizazi cha Qur’ani" limehitimishwa mjini Ljubljana, likiwa limewakutanisha zaidi ya washiriki elfu moja kutoka maeneo mbalimbali ya Slovenia.
10:51 , 2025 Jun 30
Nchi za Afrika zazidi kuvutia watalii Waislamu

Nchi za Afrika zazidi kuvutia watalii Waislamu

IQNA – Nchi za Afrika zinaendelea kupata umaarufu mkubwa miongoni mwa wasafiri Waislamu, huku vivutio vya nchi za Magharibi vikizidi kupoteza mvuto wao kwa watalii hao.
10:41 , 2025 Jun 30
Usomaji wa Pamoja wa Aya kutoka Surah Muhammad

Usomaji wa Pamoja wa Aya kutoka Surah Muhammad

IQNA – Kundi la tawasheeh kutoka Iran linaloitwa "Muhammad Rasulollah" hivi karibuni limefanya usomaji wa pamoja wa aya ya 7 kutoka Surah Muhammad. Aya hiyo inasema: "Enyi mlioamini! Mkisaidia (dini ya) Allah, Atakusaidieni na Atayasimamisha imara miguu yenu."
07:33 , 2025 Jun 30
Haram Takatifu ya Najaf yajaa Wafanyaziara katika Mwezi Mtukufu wa Muharram

Haram Takatifu ya Najaf yajaa Wafanyaziara katika Mwezi Mtukufu wa Muharram

IQNA – Haram Tukufu ya Imam Ali (Alayhis Salaam) huko Najaf, Iraq, kwa sasa inashuhudia wingi mkubwa wa wafanyaziara na waombolezaji kuadhimisha kuingia kwa mwezi wa Muharram, ambao ulianza Ijumaa, tarehe 27 Juni.
19:07 , 2025 Jun 29
Wanafunzi na Walimu wa Qur’an Waheshimiwa Nchini Qatar

Wanafunzi na Walimu wa Qur’an Waheshimiwa Nchini Qatar

IQNA – Hafla ya kila mwaka ya Idara ya Qur’an Tukufu na Sayansi Zake kwa ajili ya kuwaheshimu wanafunzi wa Qur’an imefanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha.
19:00 , 2025 Jun 29
Wizara ya Wakfu Syria yakanusha kufunga Haram ya Bibi Zaynab (SA) au kuzuia maombolezo ya Muharram

Wizara ya Wakfu Syria yakanusha kufunga Haram ya Bibi Zaynab (SA) au kuzuia maombolezo ya Muharram

IQNA – Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kidini nchini Syria imekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuwa Haram takatifu ya Bibi Zaynab (Salamullahi ‘alayha) mjini Damascus imefungwa.
18:52 , 2025 Jun 29
Waislamu wa Singapore kutuma tani 16 za nyama ya Udhiya Gaza

Waislamu wa Singapore kutuma tani 16 za nyama ya Udhiya Gaza

IQNA – Waislamu nchini Singapore wanatarajiwa kuchangia tani 16 za nyama ya Udhiya iliyo kwenye makopo kwa ajili ya wakaazi wa Gaza, kama sehemu ya juhudi za kibinadamu zitakazofanyika mwishoni mwa mwaka 2025.
18:38 , 2025 Jun 29
Wabunge Waislamu Marekani walaani hujuma dhidi ya Mwislamu mgombea umeya wa New York, Zohran Mamdani

Wabunge Waislamu Marekani walaani hujuma dhidi ya Mwislamu mgombea umeya wa New York, Zohran Mamdani

IQNA – Wabunge wote Waislamu wa Bunge la Marekani wametoa taarifa ya pamoja kulaani mashambulizi ya chuki dhidi ya Uislamu yaliyomlenga Zohran Mamdani, mgombea wa Umeya wa Jiji la New York, ambayo yametokea kutoka kwa wanasiasa wa chama tawala cha Warepublican na hata baadhi ya Wademocrat.
22:32 , 2025 Jun 28
1