Habari Maalumu
IQNA – Nchi za Afrika zinaendelea kupata umaarufu mkubwa miongoni mwa wasafiri Waislamu, huku vivutio vya nchi za Magharibi vikizidi kupoteza mvuto wao...
30 Jun 2025, 10:41
IQNA – Haram Tukufu ya Imam Ali (Alayhis Salaam) huko Najaf, Iraq, kwa sasa inashuhudia wingi mkubwa wa wafanyaziara na waombolezaji kuadhimisha kuingia...
29 Jun 2025, 19:07
IQNA – Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kidini nchini Syria imekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuwa Haram takatifu ya...
29 Jun 2025, 18:52
IQNA – Waislamu nchini Singapore wanatarajiwa kuchangia tani 16 za nyama ya Udhiya iliyo kwenye makopo kwa ajili ya wakaazi wa Gaza, kama sehemu ya juhudi...
29 Jun 2025, 18:38
IQNA – Hafla ya kila mwaka ya Idara ya Qur’an Tukufu na Sayansi Zake kwa ajili ya kuwaheshimu wanafunzi wa Qur’an imefanyika katika mji mkuu wa Qatar,...
29 Jun 2025, 19:00
IQNA – Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, ameisifu hadhira kubwa ya Wairani waliohudhuria mazishi ya pamoja yaliyofanyika Jumamosi mjini...
28 Jun 2025, 21:57
IQNA-Leo Jumamosi tarehe 28 mwezi Juni 2025 inayosadifiana na tarehe pili Muharram 1447 Hijria Tehran inashuhudia shughuli kubwa na ya kihistoria ambapo...
28 Jun 2025, 13:41
IQNA – Pamoja na kuwasili kwa mimu wa huzuni katika mwezi wa Muharram, mitaa inayoelekea kwenye makaburi matakatifu ya Imam Hussein (AS) na Hazrat Abbas...
28 Jun 2025, 22:10
IQNA – Wabunge wote Waislamu wa Bunge la Marekani wametoa taarifa ya pamoja kulaani mashambulizi ya chuki dhidi ya Uislamu yaliyomlenga Zohran Mamdani,...
28 Jun 2025, 22:32
IQNA – Operesheni ya kuwarejesha Mahujaji wa Kiirani wa Hija nchini kwa njia ya anga ilianza tena Alhamisi.
28 Jun 2025, 21:16
IQNA - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei amelipongeza taifa la Iran kwa ushindi dhidi ya utawala wa Israel na Marekani...
26 Jun 2025, 20:06
IQNA - Mgogoro mkubwa wa maji unatishia Wapalestina wa Gaza ambapo wanaweza kufariki kutokana na kiu cha maji huku utawala wa Kizayuni wa Israel ukiendeleza...
26 Jun 2025, 20:18
IQNA – Wahifadhi Qur’ani kutoka nchi 85 wamesajili majina yao ili kushiriki katika toleo la 28 la Tuzo la Kimataifa la Qur’ani Tukufu la Dubai.
25 Jun 2025, 23:53
IQNA – Pazia la Kaaba Tukufu ambalo linajulikana kama Kiswa, linabadilishwa wiki hii kuashiria kuanza kwa mwaka wa Kiislamu wa 1447 AH.
25 Jun 2025, 23:41
IQNA - Jeshi katili la Israel dhid limeua takriban Wapalestina 56,077 katika mauaji ya kimbari huko Gaza tangu Oktoba 7, 2023.
25 Jun 2025, 22:42
IQNA - Mshikamano wa Waislamu katika ulimwengu wa Kiislamu umefikia kiwango kisicho na kifani kufuatia Operesheni ya Ahadi ya Kweli III dhidi ya utawala...
25 Jun 2025, 05:38