IQNA

Sherehe za Kufunga Mashindano ya 62 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu Malaysia

KUALA LUMPUR (IQNA) - Sherehe za kufunga Mashidano ya 62 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Malaysia (MTHQA) zilifanyika Jumatatu Oktoba 24 ambapo washindi walitunukiwa zawadi.