iqna

IQNA

yahudi
Watetezi wa Palestina
IQNA – Rabi au Kuhani wa Ki yahudi mwenye makazi yake nchini Marekani anasema utawala haramu wa wa Israel unatumia vibaya dini ya Ki yahudi ili kuendeleza ukatili na uvamizi wake katika ardhi za Wapalestina.
Habari ID: 3478024    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/12

Njama za Wazayuni
TEHRAN (IQNA)- Chama cha wasomi wa Kiislamu Yemen kimesema watawala wa Saudi Arabia hawastahili kusimamia maeneo matakatifu zaidi ya Kiislamu ya Makka na Madina baada Yahudi Muisraeli kuachwa kuingia katika maeneo hayo.
Habari ID: 3475528    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/23