Shakhsia katika Qur’ani/5
TEHRAN (IQNA) – Qabil alikuwa mtoto wa kwanza wa Adam na Hawa. Hakuwa na tatizo na kaka yake Habil lakini kiburi na husuda vilimpelekea kutenda jinai ya kwanza mauaji ya kwanza katika historia ya mwandamu.
Habari ID: 3475979 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/23