Habari Maalumu
Amri ya hivi karibuni ya utawala wa Israel, iliyondoa mamlaka ya manispaa ya al-Khalil (Hebron) katika maamuzi ya mipango kuhusu eneo nyeti la msikiti...
02 Jan 2026, 18:03
IQNA-Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia amezinukuu ripoti za kiitelijinsia na kusema kuwa eneo lililojitenga la na nchi hiyo la Somaliland limekubali...
01 Jan 2026, 15:44
IQNA – Katika hafla iliyovunja desturi za karne nyingi, Zohran Mamdani alianza rasmi muhula wake kama meya wa Jiji la New York siku ya Alhamisi kwa kuapa...
01 Jan 2026, 14:19
IQNA – Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia wakimbizi wa Kipalestina ameonya kwamba vizuizi vipya vilivyowekwa na Israel vinakwamisha kabisa...
01 Jan 2026, 15:10
IQNA-Hatua ya kichokozi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kutambua eneo la Somalia la 'Somaliland' kama nchi huuru kunahusishwa na mradi mpana...
01 Jan 2026, 15:02
IQNA – Kituo kipya cha kuhifadhi Qur’an kimefunguliwa katika eneo la Kahda, jimbo la Banadir, Somalia.
31 Dec 2025, 15:05
IQNA – Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri pamoja na Radio ya Qur’ani ya taifa hilo, hivi karibuni wataanza mradi wa kurekodi qiraa mpya za Qur’an...
31 Dec 2025, 14:51
IQNA – Wakati wengi walikusanyika na familia zao, milango ya msikiti mmoja mjini Bradford, kaskazini mwa Uingereza, ilifunguliwa kuwapokea wale ambao vinginevyo...
31 Dec 2025, 14:43
IQNA – Haramu tukufu ya Hadhrat Abbas (AS) mjini Karbala, Iraq, imeandaa sherehe ya kila mwaka kwa heshima ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam Jawad (AS).
31 Dec 2025, 14:37
IQNA – Haramu tukufu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, imepambwa kwa maua mengi kwa heshima ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam wa kwanza wa Waislamu...
31 Dec 2025, 14:21
Istighfar Katika Qur’ani Tukufu/8
IQNA – Athari za Istighfar (kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu) hazihusiani tu na kusamehewa dhambi, bali pia huondoa vizuizi vinavyokwamisha baraka na...
30 Dec 2025, 14:44
IQNA – Mashindano ya 21 ya Kimataifa ya Qur’ani nchini Algeria yameanza kwa ushiriki wa wawakilishi kutoka zaidi ya nchi 48.
30 Dec 2025, 14:38
IQNA – Hafla maalumu imefanyika Gaza kuadhimisha mahafali ya wanafunzi kadhaa wa kike waliokamilisha kuhifadhi Qur’ani Tukufu.
30 Dec 2025, 14:31
IQNA – Waziri wa Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu wa Iran ametangaza jina la mwenyekiti wa Maonyesho ya 33 ya Kimataifa ya Qur’ani mjini Tehran, pamoja...
30 Dec 2025, 14:13
IQNA – Hafla ya Khatm Qur’an imefanyika katika mji wa Salalah, Oman, ikihusisha washiriki 110 waliokuwa wamehifadhi Qur’ani Tukufu.
30 Dec 2025, 14:01
IQNA – Kadri maadhimisho ya kuzaliwa kwa Imam Ali (AS) yanavyokaribia, bendera ya haram ya Imam huyo wa kwanza imebadilishwa katika hafla maalumu Jumapili.
29 Dec 2025, 13:23