IQNA

Kiongozi: Israel iliomba msaada wa Marekani baada ya kupata pigo katika ulipizaji kisasi wa Iran

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema Israel ililazimika "kusalimu amri na kuing'ang'ani Marekani" kwa...

Kitabu kipya chafafanua historia ya zana z kuandika Qur’ani

IQNA – Taasisi ya Mfalme Abdulaziz nchini Saudi Arabia imechapisha kitabu kipya kwa lugha ya Kiarabu kinachofuatilia historia ya maendeleo ya zana zilizotumika...

Qari wa Palestina auawa shahidi katika shambulizi la anga la Israel Gaza

IQNA – Msomaji wa Qur’ani wa Palestina na mwimbaji wa kaswida za Kiislamu amekufa shahidi katika shambulizi la hivi karibuni la anga lililofanywa na Israel...

Misri yachukua hatua kudhibiti utoaji wa Fatwa kupitia sheria mpya

IQNA – Misri imeingia katika awamu mpya ya kudhibiti machafuko yanayohusiana na utoaji wa Fatwa (hukumu ya kidini), kwa kuandaa sheria mpya ya kuusimamia...
Habari Maalumu
Warsha ya mtadanoni kujadili jinsi Iran ilivyojibu uchokozi wa Israel

Warsha ya mtadanoni kujadili jinsi Iran ilivyojibu uchokozi wa Israel

IQNA – Shirika la Kimataifa la Habari za Qur’ani limeandaa warsha ya kimtandaoni (webinar) ya kimataifa iitwayo "Hadhi na Nguvu ya Iran; Ujumbe Zaidi ya...
16 Jul 2025, 17:19
Mashindano ya 65 ya Kimataifa ya Qur’ani Malaysia kufanyika Agosti 2, kuhudhuriwa na nchi 50

Mashindano ya 65 ya Kimataifa ya Qur’ani Malaysia kufanyika Agosti 2, kuhudhuriwa na nchi 50

IQNA – Toleo la 65 la Mashindano ya Kimataifa ya Usomaji na Kuhifadhi Qur’ani Malaysia (MTHQA) litazinduliwa tarehe 2 Agosti katika Kituo cha Biashara...
15 Jul 2025, 20:36
Karbala yaandaa maonesho kaligrafia ya Kiarabu kuhusu Mapinduzi ya Imam Hussein (AS)

Karbala yaandaa maonesho kaligrafia ya Kiarabu kuhusu Mapinduzi ya Imam Hussein (AS)

IQNA – Maonesho ya kaligrafia ya maandishi ya Kiarabu ya siku tatu yaliyopewa jina "Katika Njia ya Ashura" yamefunguliwa katika eneo tukufu la Bayn al-Haramayn—kati...
15 Jul 2025, 20:32
Vituo 14 kuwahudumia Watoto katika mafunzo ya asubuhi ya Qur'ani majira ya kiangazi nchini Qatar

Vituo 14 kuwahudumia Watoto katika mafunzo ya asubuhi ya Qur'ani majira ya kiangazi nchini Qatar

IQNA – Mafunzo ya Qur'ani ya asubuhi wakati wa kiangazi yanatarajiwa kufanyika katika vituo 14 vya Qur'ani kote nchini Qatar kuanzia Jumapili.
15 Jul 2025, 20:27
Misri yazindua Mashindano ya Kwanza ya Kitaifa Mtandaoni ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani

Misri yazindua Mashindano ya Kwanza ya Kitaifa Mtandaoni ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani

IQNA – Wizara ya Awqaf ya Misri imetangaza kuzindua mashindano ya kwanza ya kitaifa ya mtandaoni ya kuhifadhi na kusoma Qur'ani Tukufu nchini humo.
15 Jul 2025, 20:22
Jua laambatana na Al-Kaaba, likiwapa Waislamu duniani fursa ya kupata mwelekeo Sahihi wa Qibla

Jua laambatana na Al-Kaaba, likiwapa Waislamu duniani fursa ya kupata mwelekeo Sahihi wa Qibla

IQNA – Jumanne, tarehe 15 Julai 2025, jua limeonekana moja kwa moja juu ya Al-Kaaba huko Makka, hali itakayowawezesha Waislamu kote duniani kuthibitisha...
15 Jul 2025, 19:22
Iran kuandaa matukio ya kitaifa na kimataifa kuadhimisha miaka 1500 ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW)

Iran kuandaa matukio ya kitaifa na kimataifa kuadhimisha miaka 1500 ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW)

IQNA – Mamlaka ya Iran imetangaza kuwa mfululizo wa matukio ya kitaifa na ya kimataifa yatafanyika kwa ajili ya kuadhimisha miaka 1500 tangu kuzaliwa kwa...
14 Jul 2025, 17:48
Matembezi ya Arbaeen yaanza rasmi kusini mwa Iraq, kutoka Ras al-Bisheh hadi Karbala

Matembezi ya Arbaeen yaanza rasmi kusini mwa Iraq, kutoka Ras al-Bisheh hadi Karbala

IQNA – Hijra ya Arbaeen ya mwaka 1447 Hijria imeanza rasmi, huku maelfu ya mahujaji wakiianza safari yao kwa miguu kutoka eneo la Ras al-Bisheh, lililoko...
14 Jul 2025, 17:18
Algeria yaanzisha msafara wa kitaifa wa kisomo cha Qur’an Tukufu

Algeria yaanzisha msafara wa kitaifa wa kisomo cha Qur’an Tukufu

IQNA – Mpango wa kitaifa wa usomaji wa Qur’ani Tukufu umeanzishwa rasmi nchini Algeria, ukilenga kusambaza shughuli za Qur’ani katika misikiti mbalimbali...
14 Jul 2025, 17:37
Mji wa Karasu nchini Uturuki wawaenzi wasichana 34 waliohifadhi Qur’an Tukufu

Mji wa Karasu nchini Uturuki wawaenzi wasichana 34 waliohifadhi Qur’an Tukufu

IQNA – Hafla maalum imefanyika katika mji wa Karasu, ulioko kaskazini magharibi mwa Uturuki katika mkoa wa Sakarya, kuwaenzi wasichana 34 waliokamilisha...
14 Jul 2025, 17:28
Madrasa ya Al-Azhar imeandaa kikao kuhusu Upepo Katika Qur’an Tukufu

Madrasa ya Al-Azhar imeandaa kikao kuhusu Upepo Katika Qur’an Tukufu

IQNA – Semina maalum kuhusu "Vipengele vya Miujiza ya Kisayansi katika Qur’an Tukufu Kuhusiana na Upepo" inatarajiwa kufanyika leo katika Msikiti mkuu...
14 Jul 2025, 17:24
Kuhifadhi Qur’ani kumeleta maana na utulivu maishani, asema Mama Muislamu wa Iran

Kuhifadhi Qur’ani kumeleta maana na utulivu maishani, asema Mama Muislamu wa Iran

IQNA – Zohreh Qorbani, mama mchanga kutoka Iran, asema kuwa kuhifadhi Qur’ani Tukufu kumemletea mpangilio, utulivu wa moyo, na uwazi wa kiroho katika maisha...
13 Jul 2025, 15:30
Mwanamke Mrusi aliyesilimu afafanua alivyopambana na saratani kwa nguvu ya Imani

Mwanamke Mrusi aliyesilimu afafanua alivyopambana na saratani kwa nguvu ya Imani

IQNA – Kutoka katika ulimwengu wa mitindo mjini Moscow hadi katika mapambano na kifo, maisha ya mwanamke wa Kirusi, Lyudmila Anufrieva, yalichukua mkondo...
13 Jul 2025, 15:21
Hizbullah yalaani Mauaji ya Sheikh Shahoud wa Syria, yasema yamelenga kuvuruga umoja

Hizbullah yalaani Mauaji ya Sheikh Shahoud wa Syria, yasema yamelenga kuvuruga umoja

IQNA-Harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali mauaji ya kiongozi maarufu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia, Sheikh Rasoul...
13 Jul 2025, 15:34
Marufuku ya maombolezo ya Muharram yaripotiwa tena nchini Bahrain

Marufuku ya maombolezo ya Muharram yaripotiwa tena nchini Bahrain

IQNA – Kama ilivyokuwa katika miaka iliyopita, mamlaka za Bahrain zimeendelea kuweka vizuizi juu ya maombolezo ya Muharram, hasa katika siku ya Ashura,...
13 Jul 2025, 15:08
Karbala yaandaa Mashindano ya Usomaji wa Qur'ani kwa Watoto

Karbala yaandaa Mashindano ya Usomaji wa Qur'ani kwa Watoto

IQNA – Mashindano ya usomaji wa Qur’ani Tukufu kwa tarteel kwa watoto yamefanyika mjini Karbala, yakiandaliwa na Jumuiya ya Sayansi za Qur’ani ya Haram...
13 Jul 2025, 15:01
Picha‎ - Filamu‎