iqna

IQNA

netanyahu
Jinai za Israel
PRETORIA (IQNA)-Afrika Kusini imeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) yenye makao yake makuu mjini The Hague (ICC) kuuwajibisha utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na vitendo vyake vya ukiukaji wa sheria za kimataifa wakati utawala huo ukiendelea kufanya jinai dhidi ya binadamu katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3477867    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/09

Kusambaratika Israel
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa utawala wa haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu amelazimika kuakhirisha utekelezaji wa mpango wake wa kile kinachoitwa 'mageuzi ya mahakama' kufuatia maandamano ya Wazayuni dhidi ya mpango huo kwa wiki 12 mfululizo.
Habari ID: 3476772    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/28

Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema matukio na maendeleo yanayoshuhudiwa hivi sasa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ni ishara tosha kuwa suala la kuporomoka kwa utawala wa Kizayuni wa Israel ni hakika ambayo itafanyika katika mustakabali wa karibu.
Habari ID: 3476679    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/08

Mgogoro katika utawala bandia
TEHRAN (IQNA)-Duru za utawala wa Kizayuni wa Israel zimetangaza hbari ya kujiuzulu kiongozi mwingine wa serikali ya utawala huo bandia na hivyo kuongeza uwezekano wa kusambaratika muungano unaolegalega wa serikali yenye misimamo ya kufurutu ada ya Benjamin Netanyahu.
Habari ID: 3476459    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/24

Mgogoro Israel
TEHRAN (IQNA)-Kwa mara nyingine, makumi ya maelfu ya Wazayuni wakazi wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina na kupachikwa jina la Israel wameandamana dhidi ya serikali yenye misimamo ya kuchupa mipaka ya Benjamin Netanyahu.
Habari ID: 3476445    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/22

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya Wazayuni wameandamana kupinga baraza jipya la mawaziri la Waziri Mkuu wa Israel lenye misimamo mikali. Baraza hilo jipya la Benjamin Netanyahu linatabiriwa kuanzisha sera hatari katika za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina la 'Israel'.
Habari ID: 3476375    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/08

Mapambano ya Wapalestina
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) nje ya nchi amewatolea mwito Wapalestina wa kudumisha umoja na mshikamano baina yao ili kukabiliana na serikali mpya ya utawala haramu wa Israel inayoongozwa na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu.
Habari ID: 3476310    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/26

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu Palestina (Hamas) imetangaza ushindi katika mapambano ya siku 10 dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambao umevamia Ukanda wa Ghaza na kuongeza kwamba waziri mkuu wa utawala huo Benjamni Netanyahu ameshindwa vibaya katika makabiliano hayo.
Habari ID: 3473928    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/20

TEHRAN (IQNA)- Kumekuwa na hisia mseto baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kutoa hukumu kwa manufaa ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
Habari ID: 3473626    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/06

Waziri Mkuu wa utawala huo Benjamini Netanyahu na baadhi ya maafisa wa Shirika la Ujasusi la Israel (MOSSAD) wamefanya ziara ya siri kwa wakati mmoja na Mike Pompeo Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani.
Habari ID: 3473385    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/23

RIPOTI
TEHRAN (IQNA) – Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu anapanga kukutana na Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia Mohammad bin Salman.
Habari ID: 3472449    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/08

TEHRAN (IQNA) - Ikiwa ni katika kuendeleza juhudi zake kueneza satwa ya kibeberu na kutafuta washirika kwa minajili ya kutekeleza siasa zake za kivamizi, Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala haramu amekutana na kufanya mazungumzo mjini Entebbe Uganda na Luteni Jenerali Abdul-Fattah al-Burhan, Kiongozi wa Baraza la Utawala la Sudan.
Habari ID: 3472445    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/06

Katika barua maalumu
TEHRAN (IQNA) - Spika wa Bunge la Iran (Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu) ametoa wito wa kukabiliana na mpango bandia wa Rais Donald Trump uliopewa jina la "Muamala wa Karne". Aidha ametoa wito kutatuliwa mgogoro wa Palestina kwa kutumia njia ya kura ya maoni na udiplomasia wa kibunge.
Habari ID: 3472418    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/29

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Kimataifa ya Maulama wa Kiislamu imelaani vikali mkutano wa hivi karibuni baina ya maafisa wa ngazi za juu wa nchi za Kiarabu na Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni wa Israel huko Warsaw, Poland.
Habari ID: 3471846    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/19

Harakati za makundi yanayowaunga mkono wananchi wa Palestina na kutetea haki za binadamu dhidi ya safari iliyopangwa kufanywa na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel na mazungumzo yake na viongozi wa Uingereza zimeshadidi na kushika kasi zaidi.
Habari ID: 3358320    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/05