iqna

IQNA

dijitali
Teknolojia katika Uislamu
ISLAMABAD (IQNA) – Msomi mmoja wa Pakistani ametengeneza programu ya ki dijitali ya Qur'ani Tukufu ambayo hurahisisha kupata na kusoma Qur'ani Tukufu. Programu hiyo aidha inahakikisha kuwa uchapishaji Qur'ani Tukufu unafanyika bila makosa.
Habari ID: 3477507    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/28

TEHRAN (IQNA)- Maimamu na wahubiri misikitini nchini Misri sasa watapata mafunzo maalumu kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii, intaneti na mabadiliko ya ki dijitali .
Habari ID: 3475215    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/06