Wakimbizi
IQNA - Moto ulikumba kambi ya wakimbizi wa Rohingya iliyojaa watu huko Cox's Bazar, wilaya ya pwani ya kusini mwa Bangladesh, Jumamosi usiku, na kuharibu zaidi ya makao 1,000 na kuwalazimu maelfu ya wakimbizi kuyahama makazi yao, kulingana na afisa wa zima moto na Umoja wa Mataifa.
Habari ID: 3478161 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/07
Waislamu Warohingya
JAKARTA (IQNA) - Siku ya Jumanne, kundi la karibu wakimbizi 200 Waislamu wa jamii ya Rohingya, wakiwemo wanawake na watoto, waliwasili katika jimbo la magharibi mwa Indonesia, kulingana na afisa wa eneo hilo.
Habari ID: 3477891 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/14
Waislamu Warohingya
TEHRAN (IQNA) -Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) na wafadhili wanaitaka jumuiya ya kimataifa kuongeza juhudi kwa ajili ya msaada endelevu wa kifedha na masuluhisho kwa wakimbizi wa Rohingya na jamii za Bangladesh zinazowahifadhi huku hali mbaya ikiingia mwaka wake wa sita.
Habari ID: 3476683 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/09
Waislamu Warohingya
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar ya Misri kimeonya kuhusu mgogoro wa kibinadamu unaotarajiwa kuwakumba wakimbizi wa jamii ya Rohingya iwapo misaada itapungua.
Habari ID: 3476607 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/22
Waislamu Warohingya
TEHRAN (IQNA)- Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuwasaidia kwa hali na mali wakimbizi Waislamu wa Rohingya walioko nchini Bangladesh.
Habari ID: 3475696 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/28
Waislamu wa jamii ya Rohingya
TEHRAN (IQNA) - Katika mwaka wa tano wa kulazimishwa kuhama Waislamu walio wachache wa Rohingya kutoka makwao nchini Myanmar, wengi wanaishi katika kambi ndani na nje ya nchi.
Habari ID: 3475674 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/24
Waislamu Warohingya
TEHRAN (IQNA)- Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu Michelle Bachelet amewasili Bangladesh siku ya Jumapili katika safari ya siku nne ambayo inajumuisha kutembelea kambi za wakimbizi zenye hali mbaya ambapo zaidi ya wakimbizi milioni wa Rohingya kutoka Myanmar wanaishi.
Habari ID: 3475618 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/14
Jinai za Myamar
TEHRAN (IQNA) – Nyaraka mpya zinaonyesha jinsi vikosi vya jeshi la Myanmar vilipanga kuwafukuza kwa lazima Waislamu walio wachache wa nchi hiyo kutoka ardhi zao za jadi.
Habari ID: 3475583 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/05
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya Waislamu 100 wa jamii ya Rohingya waliokuwa na njaa na udhaifu mkubwa wa kimwili walipatikana kwenye ufuo wa bahari katika mkoa wa kaskazini mwa Indonesia wa Aceh baada ya wiki kadhaa baharini.
Habari ID: 3475019 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/07
TEHRAN (IQNA)- Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) leo Jumatatu inaanza kusikiliza tena kesi ya mauaji ya Waislamu wa Rohingya wa Myanmar iliyokuwa imewasilishwa na Gambia katika mahakama hiyo.
Habari ID: 3474954 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/21
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umetia saini mapatano na Bangladesh kuhusu kuwasiadia wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya ambao wako katika kisiwa kimoka cha Ghuba ya Bengal.
Habari ID: 3474407 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/10
TEHRAN (IQNA)- Mmoja wa viongozi wa jamii ya Waislamu wa Rohingya waliokimbilia Bangladesh kutoka Myanmar ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana.
Habari ID: 3474370 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/02
TEHRAN (IQNA) - Jeshi la Myanmar lilivyofanya mapinduzi na kutwaa madaraka ya nchi limetangaza kuwa, lina mpango wa kumfungulia mashtaka ya uhaini Aung San Suu Kyi kiongozi wa chama tawala cha nchi hiyo cha NLD na viongozi wengine kadhaa wa nchi hiyo.
Habari ID: 3473618 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/03
TEHRAN (IQNA) – China imesema itatoa chanjo ya bure ya COVID-19 kwa wakimbizi Wa rohingya ambao walioko Bangladesh.
Habari ID: 3473574 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/20
TEHRAN (IQNA) –Bangladesh imewahamisha Waislamu 1,804 wakimbizi wa jamii ya Rohiingya kutoka katika kambi ya wakimbizi ya Cox's Bazar na kuwapeleka katika kisiwa cha mbali ambacho hadi sasa hakikuwa na wanadamu katika Ghuba ya Bengali .
Habari ID: 3473530 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/06
TEHRAN (IQNA) – Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea matumaini yake kuwa uchaguzi mkuu wa Novemba 8 nchini Myanmar utaandaa mazingira ya kurejea nyumbani mamia ya maelefu ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya.
Habari ID: 3473338 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/07
TEHRAN (IQNA) - Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuchukuliwa hatua zaidi kutokana na ukiukaji wa haki za binadamu unaofanyika nchini Myanmar dhidi ya jamii ya Waislamu wa Rohingya.
Habari ID: 3473170 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/15
TEHRAN (IQNA) – Wakimbizi 300 Wa rohingya wamewasilia Indonesia mapema Jumatatu na kusema wamekuwa baharini kwa muda wa miezi saba.
Habari ID: 3473147 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/07
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa kutatuliwa tatizo la mgogoro wa wakimbizi Wa rohingya kupitia utatuzi wa chanzo kikuu cha sababu za wao kukimbia makazi yao nchini Myanmar.
Habari ID: 3473113 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/28
TEHRAN (IQNA) – Waislamu Wa rohingya ambao ni wakimbizi nchini Bangladesh leo wameshiriki katika 'maandamano ya kimya kimya' kukumbuka mwaka wa tatu tokea waanze kufurushwa makwao nchini Myanmar.
Habari ID: 3473102 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/25