iqna

IQNA

intaneti
Harakati za Qur'ani Tukufu
IQNA - Urais wa Haramain (misikiti miwili mitakatifu ya Makka na Madina) imezindua programu ya kujifunza Qur'ani Tukufu kwa njia ya intaneti .
Habari ID: 3478203    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/16

Uislamu na teknolojia
TEHRAN (IQNA)- Shirika moja la masuala ya uchumi wa Kiislamu limetangaza kuzindua Metaverse ya kwanza ya Kiislamu ambayo inaenda sambamba na mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3475282    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/22

TEHRAN (IQNA)- Maimamu na wahubiri misikitini nchini Misri sasa watapata mafunzo maalumu kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii, intaneti na mabadiliko ya kidijitali.
Habari ID: 3475215    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/06

TEHRAN (IQNA) Maoneysho ya kwanza ya Qur’ani kufanyika kwa njia ya intaneti katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamefunguliwa Jumamosi.
Habari ID: 3473869    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/02

TEHRAN (IQNA) – Mafundisho ya Qur’ani kwa njia ya intaneti yameandaliwa na Kituo cha Darul Qur’an nchini Lebanon. Kituo hicho kinafungamana na Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3473169    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/14

TEHRAN (IQNA) – Mashauriano yanaendelea kuhusu uwezekano wa kufanyika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur’ani ya Iran kwa njia ya intaneti .
Habari ID: 3473151    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/09

TEHRAN (IQNA)- Shirika moja la kiteknolojia nchini Malaysia limefanikiwa kutegeneza browser ya kwanza duniani ambayo inaenda kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu kwa lengo la kuwahudumia Waislamu bilioni 1.8 duniani ili waweze kuwa na mazingira halali na salama katika intaneti .
Habari ID: 3471996    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/12

TEHRAN (IQNA)- Oman imepanga kuanzisha mafunzo ya kusoma Qur’ani Tukufu kupitia intaneti kwa Waislamu wote.
Habari ID: 3471112    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/08

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitizia ulazima wa kuweko mazalisho ya Kiislamu yenye umakini na mvuto kwa ajili ya kutumwa kwenye mitandao ya Intaneti.
Habari ID: 3360447    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/08