Shakhsia katika Qur'ani/ 7
TEHRAN (IQNA) - Wasomi wanaoitafakari dunia na sababu za matukio ndani yake wanakuwa na nyenzo bora za kusonga mbele kwenye njia ya kiroho na ukamilifu kuliko watu wa kawaida.
Habari ID: 3475995 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/27